Ukikaribia Period Unaweza Pata Mimba, Siku za kupata mimba ni siku ambazo mwanamke ana uwezekano mkubwa wa kushika mimba akishiriki ngono.